QUEEN OF ZOUK HAFSA KAZINJA KUKAMUA NDANI YA MOTO LOUNGE MARYLAND MAREKANI JUMAMOSI 22 SEPT 2012...!!!
Baada ya kuadimika kwa muda mrefu mwanadada aa Queen of Zouk aliyekuwa ana tamba na kibao chake "PRESSURE" ana rudi upya na kutukumbushia enzi zake za Pressure na vibao vyake vingine vikali. Maryland kaeni mkao wa kuburudika siku ya Jumamosi 22 September 2012.
Uonapo tangazo hili mjulishe na mwenzio.
Comments
Post a Comment