SULTAN KING & SHULA'S RECEPTION PICS! WALINOGAJEEEEEEE...!!!

Mashallah wamependezajeeeeee
Shula mwanangu hongera sana na Mungu aibariki ndoa yenu
Mahabaaaa ya ukwee'
Palipendezajeeeeeeee


Mr & Mrs Sultan King
Tenaaaaaaaaaaaaaaa
Mie hiyo nguo tu si mchezo


Everything on point


Kwa raha zao

Comments