TASWIRA ZA IBADA NA MAZISHI YA MWANDISHI DAUDI MWANGOSI ZINZO ENDELEA WAKATI HUU ITETE TUKUYU MKOANI MBEYA...!!!
Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akilia kwa Uchungu Muda huu
Maelfu ya watu wakiongezeka kuja katika Mazishi ya mwandishi wa habari wa Chanel 10 Daudi Mwangosi Muda huu
Mheshimiwa Mark Mwandosya ambaye ni Waziri ofisi ya Rais na pia Mbunge wa Rungwe Mashariki akitoa salam kwa Niaba ya Serikali
Watu wakiwa wengi na wenye utulivu wakisikiliaza watu mbalimbali wakitoa salam zao kwa ndugu wa Marehemu
Mjane Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi aliye jishika, akiwa na uchungu muda huu
Ibada ikiwa inakaribia kuanza
Ibada ya mazishi ndio imeanza muda huu
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa wenye majonzi Makubwa
Waandishi wa Habari wakiwa katika msiba wa kwanza kutoka kulia ni Ndugu Joseph Mwaisango ambaye ni mwandishi mkuu wa Mbeya yetu Blog, Rais wa UTPC Keny Simabaya, pamoja na Felix Mwakyembe .
Wawakilishi Mbalimbali wakitoa salam za Pole kwa ndugu wa Marehemu
Mwakilishi wa Chanel Ten Hamis akitoa pole katika msiba huu muda huu
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akitoa pole zake kwa wafiwa
Mwanaharakati Francis Godwin akielezea Jinsi Mauti yalivyo mkuta Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi
Rais wa UTPC Kenny Simbaya ambaye pia ni kiongozi wa msafala wa kuleta Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi akiwa anatoa salam za Pole kwa wafiwa.
Dr Slaa akitoa pole kwa wafiwa wote Muda huu
Wakina mama wakiwa wenye majonzi makubwa sana na huzuni muda huu
Picha na habari zote kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog
Comments
Post a Comment