TASWIRA ZA PRINCE WILLIAM NA MKEWE KATE WALIPO TEMBELEA MSIKITI WA ASSYAKIRIN KUALA LAMPUR MALAYSIA...!!!



Blogger Fredy Njeje nae alikuwepo kushudia tukio hili lakihistoria


Prince William na mkewe wako nchini Malaysia kikazi zaidi. Katika ziara yao hiyo walibahatika kutembelea msikiti mkubwa kuliko yote nchini humo ambao unaweza kuchukua idadi ya watu 12,000 katika sala ya Ijumaa. Walipofika msikitini hapo pamoja na ufalme wao wali vua vitu kama ishara ya heshima kwa dini ya kiislam. Willaima na mkwewe walipata fursa ya kujifunza machache kuhusu dini ya kiisalam na tamaduni zao.
Maelfu ya watu walikusanyika kuwapokea Prince William na mkewe. Baad ya hapo Kate akakutana na designer maarufu wa viatu vya Jimmy Choo katika hafla ya British Tea Party.
Images via Mailonline
Comments
Post a Comment