TASWIRA ZA TANZANIA DAY NDANI YA WASHINGTON DC...!!!

Ubalozi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Washington D.C Jana umeandaa Maonyesho ya kwanza ya aina yake ya siku maalum ya Mtanzania kuonyesha Utamaduni wake ambapo watu wengi walihudhuria huko kwenye Jengo la ubalozi kuangalia bidhaa mbalimbali za kitanzania.
Ikiwa ni siku maalum ya Mtanzania ilotolewa wito na Mhe. Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,  Siku ya Ijumaa, Sept. 14, 2012,  Wananchi wengi wa Kitanzania na hapa Marekani walikuweko kuangalia maonyesho na kununua bidhaa ikiwemo Mavazi ya kanga batiki,vitenge, shanga, mapishi ya vyakula mbali mbali vya kinyumbani,pamoja  na vivutio vya utalii kutoka kwa wajasirimali

Wengi walionyesha kufurahishwa na Siku hii maalum ya mtanzania kwani ilikuwa na vivutio vingi hasa mambo ya watanzania kuwa ni watu maalum kabisa na fursa za kitalii za kuweza kuwekeza huko Tanzania pia taasisi za kudumisha Lugha ya Kiswahili na ngoma za utamaduni.
  
Maonyesho hayo yalifanyika katika eneo la Ubalozi wa Tanzania Jijini Washington DC
Jengo la Ubalozi wa Tanzania  katika siku Maalum ya Mtanzania iliofanyika siku ya Jumamosi  Sept, 15, 2012

  
Katibu wa Jumuia ya waTanzania DMV Bwna. Amos Cherehani akiwa na muweka hazina wakikaribisha wageni ndani ya jengo! picha ya pili Susan Malima Mfaya biashara wa mapambo ya kiasili
Mteja akiangalia bidhaa za Kwetu Fashion Desig kwa manunuzi
Kwetu Fashion Desig Missy Temeke  alivaa vazi la kitamaduni, akiwa na wateja wake njee ya jengo la Balozi waTanzania siku ya Tanzania Day
Mjasirimali Haji S. Abdulla wa usafirishaji wa mizigo kutoka Marekani kwenda Tanzania wa Rodger's Exports

Mhe. Mwanaidi Maajar, Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico alivaa vazi la kitenge akiwakaribisha wageni walikwa ndania ya Tanzania House, kwa maonyesho ya kitamatuni. pamoja na Watoto wa Mhe. Leticia M Nyerere, Helena Maria Nyerere na Julia Nyerere.
Cheif wa swahilivilla  akiangalia bidhaa mbali mbali za wajasirimali 


  




 Missy & Hafsa
 Mzee wa Swahilivilla Blog akiwa katika pose na Balozi Maajar
 Hafsaaaaaaaaaaaaa
 Queen of Zouk Hafsa Kazinja akiwa katika pose na Mama Balozi
Dancers wa Diamond aka Wasafi, Mama Hafsa na Missy Temeke katika pose

  










Comments