TASWIRA ZA KUAGA MWILI WA MWANDISHI WA HABARI MAREHMEU DAUDI MWANGOSI ZINAZOENDELEA HIVI SASA ITETE TUKUYU MKOANI MBEYA...!!!
Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa una andaliwa kwa ajili ya kutolewa Heshima za mwisho
Muheshimiwa Mark Mwandosya akitoa Heshima za Mwisho
Ndugu jamaa na Marafiki wakitoa Heshima za Mwisho
Mke wa Marehemu akitoa heshia zake za Mwisho
Ma elfu ya watu wakipita kutoa Heshima zao za mwisho
Huko Jikoni Mambo yanaendelea
Mama Mzazi wa Marehemu Daudi Mwangosi akiwa analia kwa Uchungu
Dr Slaa akiwa pamoja na Mh. Mark Mwandosya
JG BLog inatoa pole kwa familia ya marehemu na inalaani vikali kitendo kilicho toekea hadi mpiganji Daudi Mwandosi kufikwa na mauti. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
Picha zote na habari kwa hisani ya Mbeya yetu Blog
Comments
Post a Comment