TEAM ZA YANGA NA SIMBA ZAPATA MABASI MAPYA KWA UDHAMINI MKUBWA WA KAMPUNI YA BIA TANZANIA...!!!



Mabasi haya yamenunuliwa na mdhamini wa club hizi ambae ni Kampuni ya bia Tanzania  ambapo hafla ya makabidhiano itafanyika leo Ijumaa september 21 2012.

Comments