TERRENCE J AFUNGUKA AONGELEA, E! NEWS, SELITA EBANKS NA KWA NINI ALIONDOKA 106 & PARK [VIDEO]...!!!

Terrence J alikuwa mmoja wa watangazaji maarufu  kwenye BET show ya  106 & Park kwa miaka saba iliyopita, na mwaka huu wa 2012 aliamua kuchukuwa ujuzi wake na kwenda kuanza kazi kwenye kituo chengine cha E news, msikilize mwenyewe kwenye video yake akihojiwa na Angie Martines kwa nini aliamua kuondoka 106 & Park, kazi yake itakuwa nini kwenye E news na mengine mengi.

Comments