Balozi Mdogo wa India Balozi Kumar. akitowa
hutuba katika sherehe za kuwapongeza Wanafunzi waliopata mafunzo ya Kozi
mbalimbali Nchini India.
Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe.
Thuwaiba Kisasi, akitowa hutuwa wakati wa sherehe za kuwapongeza Wanafunzi
waliochukuwa mnafunzo yao Nchini India wakati wa sherehe ilioandaliwa na Balozi
Mdogo wa India Zanzibar.
Wazee na wageni waalikwa
Wazanzibar waliopata mafunzo ya Kozi mbailmbali
Nchini India wakimsikiliza Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Thuwaiba
Kisasi wakiwahutubia katika sherehe hizo zilizoandaliwa na Balozi wa India
nyumbani kwake Mazizini.
Mzanzibar alioepata Mafunzi Nchini India akitowa
shukrani wakati wa sherehe za kuwapongeza ilioandaliwa na Balozi Mdogo wa India
Zanzibar Mhe Kumar. nyumbani kwake mazizini
Mwanafunzi ambaye amefanya Mafunzo Nchini India
akitowa shukrani zake wakati wa sherehe za kuwapongeza Wanafunzo waliopata
mafunzo yao Nchini India wakati wa sherehe ilioandaliwa na Balozi Mdogo wa India
Zanzibar Nyumbani kwake Mazizini.
Picha kwa hisani ya ZanziNewsBlog.
Comments
Post a Comment