BONDIA THOMAS MASHALI NA MEDY SEBYALA WA UGANDA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO JUMAPILI...!!!
Bondia Jonas Segu kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na jonas Segu kulia utakaofanyika kesho picha na www.superdboxingcoach. |
Comments
Post a Comment