FEW PIC'S FROM AUNTY EZEKIEL'S SEND OFF PARTY...!!!

 Mambo ya Aunty hayo
 Aunty akiwa na wapambe wake
Kitu cha twist hapo au sijui nini
Kama kawa Aunty alibadlisha nguo na hapa anaonekana akitambulisha na kushukuru watu wake
 Wema na Wolper ndani
Mambo ya single button hayo

Props: Tanzanite Glamour

Comments

  1. Midume mizima inavaa pink yaani tz sijui inaenda wapi?.

    ReplyDelete
  2. Nani kasema mwanaume hawezi kuvaa pink? Au kisa wabongo ndio maana unahate?

    ReplyDelete

Post a Comment