Shakoor ansema kila Jumatatu atakuwa anavaa vazi kama hili ila kuanzia Jumanne hadi Jumamosi ni mwendo wa Majeans mwanzo mwisho
So Jumatatu ya leo alimua kupigia kitu cha suit kazini maana nikiwa binafsi aliona atapendeza
Chezea Shakoor full kutokeleza
Huyu ndo yule mwandishi wa Global Publishers amabye mama yake Wema alimpa onyo kuhusu kumchafua mwanae some months agohahaha na kama huijui story hiyo au huikumbuki cheki hapa. All in all huu ndo mtoko wake wa ofisini leo na naweza kusema katokeleza si mchezo.
Comments
Post a Comment