Amaldin Mbuguni akiwa na baba yake Suleiman Mbuguni.
Kamaldin Suleima Mbuguni akiwa na baba yake Mbuguni na mama yake Ananora katika sherehe ya mahafali ya darasa la saba mwishoni mwa wiki Blog Hii inampongeza na kumtakia safari njema katika maandalizi ya elimu ya Sekondari.
 Kamaldin akilishwa keki na binti wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga Iman Madega ambaye wamemaliza pamoja katika Shule ya Msingi Shree Hindu Mandal.  |
Comments
Post a Comment