MHE. AMINA SALUM ALI ALONGA NA VIJIMAMBO...!!!

Balozi wa African Union Nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali alonga na Vijimambo, azungumuzia historia yake, uzoefu wake wa kazi na nyazifa mbalimbali alizoshika katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Muungano, pia aelezea ni kwanini AU waliamua kufungua Ofisi ya Ubalozi Marekani wakati kuna Waheshimiwa Mabalozi mbalimbali wa Afrika wanaoakilisha Nchi zao, nini tofauti ya kazi zao. MSKILIZE

Comments