Johnson Mwansasu pichani anaeishi nchini Uingereza hajaonekana for about a week.
Anapendelea kutembelea maeneo ya East Ham, Barking, Walthamstow, Wolverhampton and Milton Keynes UK.
Kama mtu akimuona tunaomba atupe taarifa kupitia facebook account (Deo Mweta, David Wilson, Did Jay,) au simu number 07534050436-Deo Mweta, 07961796311-David Wilson, 07404205954-Davis Mwakitwange, 07404568541-Did Jay....asante
Comments
Post a Comment