Hata hiyo bodi ya tanesco ni ya kuvunjwa na kuondoa wote ambao hawana utaalamu wowote wa umeme.Iundwe bodi mpya kwa njia ya kutoa tangazo kama la ajira vile na vigezo viwekwe ili tuondokane na mfumo huu wa ovyo wa kuwapa watumishi waliokwisha kustaafu
Madudu haya yapo katika idara nyingi za serikali yetu.Bodi nyigngi zinaundwa na watu waliokwisha staafu kisheria.Ziundwe bodi za watu wenye taaluma husika.Hii itasaidia kuondoa uzandiki katika kuyaendesha mashirika ya umma ambayo yamefanywa kama mashamba ya watu wachache kuvuna
NA KWENGINE WAENDE SIO TU TANESCO DAWASA WANA KERA PIA BILI ZA UONGO NA WAKATI UNIT ZINAONYESHA GARAMA ZAMAJI ULIYO TUMIA SASA HAPO NDIO KUNA MGONGANO KATI YA MTEJA NA DAWASCO.SIPENDI KWELI
Hata hiyo bodi ya tanesco ni ya kuvunjwa na kuondoa wote ambao hawana utaalamu wowote wa umeme.Iundwe bodi mpya kwa njia ya kutoa tangazo kama la ajira vile na vigezo viwekwe ili tuondokane na mfumo huu wa ovyo wa kuwapa watumishi waliokwisha kustaafu
ReplyDeleteMadudu haya yapo katika idara nyingi za serikali yetu.Bodi nyigngi zinaundwa na watu waliokwisha staafu kisheria.Ziundwe bodi za watu wenye taaluma husika.Hii itasaidia kuondoa uzandiki katika kuyaendesha mashirika ya umma ambayo yamefanywa kama mashamba ya watu wachache kuvuna
ReplyDeleteNA KWENGINE WAENDE SIO TU TANESCO DAWASA WANA KERA PIA BILI ZA UONGO NA WAKATI UNIT ZINAONYESHA GARAMA ZAMAJI ULIYO TUMIA SASA HAPO NDIO KUNA MGONGANO KATI YA MTEJA NA DAWASCO.SIPENDI KWELI
ReplyDelete