Tangazo la tamasha la kimataifa la ngumi litakalofanyika mkoani mtwara ktk ukumbi wa MAKONDE BEACH RESORT.
Tamasha hilo litasimamiwa na ORGANAIZESHENI YA NGUMI ZA KULIPWA TANZANAI TPBO, na maandalizi ya tamasha hilo yanaendelea vizuri sana na bondia patrick amote kutoka kenya anatarajiwa kuwasili nchini tanzania tarehe 23-10-2012 tayari kuanza safari ya kuelekea mkoani MTWARA tarehe 24 -10 -2012.

Comments
Post a Comment