SEIF KABELELE AWA MENEJA MPYA WA MWANAMUZIKI WA RNB NCHINI TANZANIA STEVE RnB...!!!

 Mwanamuziki Kutoka Tanzania katika miondoko ya RnB anaekwenda kwa jina la Steve RnB leo amepata Manager mpya ambaye atakuwa akisimamia kazi zake zinazohusiana na muziki wake. Manager Wake Mpya anaitwa Seif Kabelele wa tovuti ya www.kabelelejr.blogspot.com

Way to go my brother Seif big up sana & I wish you all the best.

Much love
JG
xoxox

Cheki wimbo wa Steve RnB unaoenda kwa jina la 'One Love'

Comments