TASWIRA ZA MKUTANO WA VIONGOZI WA CHADEMA KUTOKA TANZANIA NA MAKAMANDA WA CHADEMA UK...!!!

Mc wa shughuli kamanda Prudence Kahatano akikaribisha wadau na kufungua mkutano
 Mgeni kutoka Tanzania Mh. Ezekiel Wenje akimwaga sera wakati wa mkutano wa CHADEMA UK uliyo fanyika jini London mwaishioni mwa mwaiki iliyopita.
Cheche zikiendelea kumwagwa
Mgeni mwingine kutoka Tanzania kamanda Makelele katibu mwenezi CHADEMA Moshi akimwaga sera.
Katibu Mkuu wa Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) akiongea machache
Wadu mbali mbali waliohudhuria mkutano wakisikiliza kwa makini yaliyokuwa yanajiri
Kutoka kushoto ni Katibu wa Baraza la Wanawake (BAWACHA London) Magareth, anaefuata ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA London) Jessica Moshi 
Makamanda wakifuatilia mkutano kwa makini
 Makamu Katibu Mwenezi wa CHADEMA UK Dr. John Lusingu akimwaga sera zake na kutoa hoja zake
Mkutano ukiendelea
Mmoja wapo wa Think Tanker na MC wa tukio wa CHADEMA UK akifuatilia mkutano
Mama Jessica Moshi Mwenyekiti wa BAWACHA UK akifuatila mkutano
Dr Alex Paurine Mweka Hazina wa CHADEMA UK akimwaga sera
Hight table 
Makamanda wakifuatilia mkutano
Wakina mama wakiufutailia mkutano kwa makini
Mkurugenzi wa  Computers for Africa Kamanda Asseri Katanga akimwaga sera
Wadau wakifuatilia mkutano kwa makini
Makamanda full concentration
CHADEMA UK ilipata wanachama wapya na picha ni ni mwanachama mpya kipokea kadi yake
Mwanachama mpya wa CHADEMA UK akipeana mkono na Mh. Ezekiel Wenje
Mh. Wenje akimpa mkono mwanachama mpya na kumkaribisha kwenye chama
Kamanda Ndibalema akipokea kadi yake ya uanachama
Mwanachama mpya akifurahia kadi yake
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA UK Apostle Matthew akifunga mkutano huo kwa kuwashukuru wadau walio jitokeza na kuongea machache.

Makamanda wakiwa katika picha ya pamoja

Comments