THE BEAUTIFUL WEDDING OF MATINA NKURLU & RACHEL SINDBARD WHICH TOOK PLACE 20 OCTOBER 2012 IN DAR ES SALAAM TANZANIA...!!!
The newly weds Mr & Mrs Matina Nkurlu! Many Congrats
Beautiful couple posing. I'm in love with this pic
Matina Nkurlu akisaini cheti cha ndoa yao huku mke wake akihakiki kweli mumewe anaweka siani ya siku zote…lol
Mchungaji nae alimwaga wino akishuhudiwa na wapambeDeus Ntukamazina na Noela Ntukamazina
Matina & Rachel wakitoka kanisani mara baada ya kufungwa kwa ndoa katika kanisa la KKT Mbezi Beach.
Picha ya pamoja mara baada ya kufungwa ndoa….
Bi.Harusi akiwa na shemeji yake Masala mwenye miwani na wifi yake Nzigia
Bwana harusi akimwelekeza mke wake wapi pakupita ili asidondoke…
Wakiwa kwa picha ya pamoja na maids wao…imetokelezea
Jamani rahaaaaa…hahahahahaha
---
JG Blog inapenda kuwapongeza sana Matina na Rachel kwa hatua hii kubwa waliyoifikia. Tunawaombea kwa Mungu ndoa yenye furaha na amani siku zote za maisah yao.
Comments
Post a Comment