Yaani Inatilisha huruma ndugu zetu wanakufa kiholela,kwa nini serikali hazifungia au kusaidia kufungua rehab nyengine kama hizi kwani hawa jamaa wamepotea lakini naamini kama watasaidiwa basi na Mwenyezi mungu atawasaidia, Ila hawajuwi wapi pa kuanzia, na kama tulivyooona kwenye hiyo video clip wengine wanao uwezo wa kujiajiri wenyewe. natamani hawa watu wa serikali wawe wanayapitia mablog ili waone mambo kama haya ambayo huwa hayaoneshwi kwenye national TV. well done Jestina George
Yaani Inatilisha huruma ndugu zetu wanakufa kiholela,kwa nini serikali hazifungia au kusaidia kufungua rehab nyengine kama hizi kwani hawa jamaa wamepotea lakini naamini kama watasaidiwa basi na Mwenyezi mungu atawasaidia, Ila hawajuwi wapi pa kuanzia, na kama tulivyooona kwenye hiyo video clip wengine wanao uwezo wa kujiajiri wenyewe.
ReplyDeletenatamani hawa watu wa serikali wawe wanayapitia mablog ili waone mambo kama haya ambayo huwa hayaoneshwi kwenye national TV. well done Jestina George