WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA PINDA KUKUTANA NA WATANZANIA UINGEREZA...!!!

Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda atakutana na watanzania waishio Uingereza, dhumuni likiwa ni kuzungumzia mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu kisiasa, kiuchumi, n.k. Pamoja na hayo pia maswala yaliyozungumzwa kwenye ziara yake ya mara ya kwanza yataelezewa.

Siku: Jumanne 16, October 2012
Mahali: Tanzania High Commission
3 Stratford Place  Marylebone, London W1C 1AS
Time: 17:00 jioni (saa kumi na moja jioni).

Inashauriwa wale wote wanaopenda kuhudhuria wajiandikishe kupitia email:
Wote mnakaribishwa.

Comments

  1. that great,hopeful wa tz wa huko mtakuwa na good time.cheers karibuni tz kuwekeza

    ReplyDelete

Post a Comment