Mama Aneth akiondoka na mwanae mara baada ya hakimu kumuona mtoto huyo na kupata maelezo mafupi kutoka kwake na kushindwa kuendelea kuongea mara baad ya kumuona shangazi yake huyo aliyemchoma moto akiingia katika chumba cha mahakama. Kesi hiyo imeairishwa mpaka tarehe 6 December 2012.
|
Mtoto Aneth mara baada ya kutoka katika chumba cha mahakama akisubiri kurudishwa katika hospitlai ya Rufaa Mbeya kwaajili ya kuendelea na matibabu
|
Wakina mama wenye jazba walitaka hakimu awaachie japo kidogo kwa daika tano tu wamfunze adabu mthumiwa huyo kwani wanadai amewadhalilisha sana kwa vitendo vya unyanyasaji alivyo mfanyia mtoto Aneth hadi kupeleka kukatwa mk.
|
Wakina mama wenye hasira kali wakiwa nje ya mahakama hiyo.
|
Habari na picha kwa hisani ya Mbeya Yetu |
|
|
Comments
Post a Comment