Duh hatari kweli kweli
Hivi inakuwaje mtu anafikia hatu akama hii jamani chuki gani hizi??? Damnnnnnnnn!!!!!
“Kiukweli mimi kama Jacquline Wolper sina ubaya na mtu yeyote, ila nmeshangaa kuona watu nisiyo wajua kuja usiku wa manane na kunichomea gari yangu. Kiukweli siwezi kumuhisi mtu ila najua ni lazima atakua mtu asiependa maendeleo yangu ni ni mtu mbaya sana kwangu. Na inawezekana kabisa alipanga kunia lakni kwa bahati nzuri siku hiyo sikua nyumbani nilikua nimesafiri. Tukio lilitokea usiku wa tarehe 23/10/2012 ambapo mtu alitumia matambara yaliyo na mafuta ya taa au Petrol akiwa kwa nje ya ukuta wa nyumba yangu akiwa anarusha kwa ndani. Nimepeleka taarifa kituo cha Polisi kawe kwa kutaka msaada wa kiupelezi na nitakua nawapa taarifa za kila kinachoendelea. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwani niko salama” Alisema Wolper
Pole sana Jacqueline and take care. Nadhani anahitaji security ya uhakika kabla mambo hayajawa mengine. Inasikitisha sana
Culled from This is Diamond
hi ni chuki binafsi pole sana wolper
ReplyDeleteUongo huo. Mbona tairi halijaguswa hata na moto.
ReplyDeleteMbona tairi halijaungua. Uongo huo
ReplyDelete