INASIKITISHA SANA: MTOTO WA MIAKA MITATU ACHOMWA MOTO NA MAMA YAKE MDOGO KISHA KULAZIMISHWA KULA KINYESI CHAKE MAJENGO JIJINI MBEYA...!!!
Mtoto Aneth mara baada ya kuunguzwa na kuokolewa na msamaria mwema
Haya ndo majeraha aliyo nayo mtoto Aneth baada ya kuunguzwa na mama yake mdogo
Mthumiwa wa kumuunguza mtoto Aneth ambaye ni mama yake mdogo anaejulikana kwa jina la Bahati Lukangara
Mthumiwa akiwa amesungukwa na majirani baada ya tukio
Majirani wakihjaribu kuzungumza na mama mdogo wa Aneth ili kujua sababu za yeye kuumunguza mtoto huyo, lakini inasemakana hakujibu wala kueleza kitu chochote
Mwenyekiti wa mtaa huo Habiba Mwaktalu akiongozana na Diwani wa kata ya Majengo Mh. Samwelu wakiwa na mtoto Aneth tayari kwa kumpeleka hospitali
Mama mdogo wa Aneth akiwa ameshikiliwa na wananchi wenye hasira kali wakimpleka kituo cha polisi
---
Katika hali isiyo ya Kawaida Mkazi wa majengo jijini Mbeya Ndugu Bahati Rukangara amemchoma moto mtoto mdogo wa mika 3 aliyefahamika kwa jina la Aneth kisha kumfungia Ndani na kumlazimisha ale kinyessi chake.
Akizungumza Mwenyekiti wa mtaa huo Ndugu Habiba Mwakitabu amesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya saa 10 :30 asabuhi ambapo majirani na mwanamke huyo waligundua mara baada ya kusikia sauti ya mtoto huyo akilia kutokana na maumivu.
Amesema mara baada ya kusikia sauti hiyo walifika eno hilo na kunza kumhoji ili kufahamu kiini cha tatizo hilo ambapo alishindwa kutoa ushirikiano ndipo walipo anza kumpiga .
Amesema kutokana na hali hiyo majirani walilazimika kubomoa mlango ndipo walipo mkuta mtoto huyo akiwa uchi huku ameungua vibaya mwilini hasa katika upande mmoja eneo la mkono wa kushoto .
Amesema mara baada ya kumhoji mtoto huyo aliwaeleza kuwa mama yake mdogo alichukua nguo na mkumfunga mkononi kisha kumwagia maji ya moto pamoja na kumlazimisha ale kinyesi chake hali ambayo iliwafanya washindwe kuvumilia na kuanza kupiga kelele kwa lengo la kuomba msaada kwa watu wengine.
Kwa mujibu maelezo ya mwenyekiti huyo amesema kuwa Mtuhumiwa huyo amekuwa akifanya vitendo vya manyanyaso kwa mtoto huyo marakwamara ambapo wamekuwa wakimuonya lakini amekuwa si mtu wa kusikia.
Ameesema mtoto huyo si wa kwa kwakwe kwani amekuwa akiishi naye kwa muda mrefu sasa ambapo aliachiwa na dada yake ambaye hakufahamika kuwa nayishi wapi kwa sasa.
Hata Diwani wa kata hiyo Ndugu Samuel Mamboma alifika eneo hilo tukio na kutoa msaada wa usafiri kwa lengo la kumfikisha mama huyo polisi pamoja na mtoto huyo ambaye naye alikimbizwa Hospitali.
Hata hivyo amesema tukio hilo si la kwanza kutokea katika meaeno hayo kwani kumekuwepo na matukio mengi hasa ya utoaji mimba na kutupwa watoto.
Habari na picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog
ACHOMWE MOTO HUYO MBWA MWENYE KUUNGUZA WATOTO WADOGO ILI APATE KUSIKIA UTAMU. SHAME ON HER!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMungu wangu! Binadamu wengine wamepewa roho za kikatili namna hii!!! Imeniuma sana
ReplyDeleteOooh my God!this is too bad what kind of a woman is she?she never being a mother......it pain me much!God take good care of this young boy and protect him....that woman must be punished severely
ReplyDeletejamani herieth mama umenenepa kiasi hicho vaileth yuko wapi mimi nimesoma na david mtakuja jina langu linaanza na l.nina saloon mtongani inaitwa bin simalizii jina nadhani utanijua.na mimi nifans wa jestina blog nipo finland
ReplyDeleteLakini, mbona madaktari wamekimbilia kuukata mkono mapema hivyo. Unavyoonekana kwenye picha, unaonyesha dalili kuwa ungeliweza kutibika na kupona kwa kawaida, ila baada ya kitambo. Pole sana mwanangu!
ReplyDelete