MAMA YAKE RAY C AFUNGUKA NA KUSEMA RAY C ANAHITAJI KUSAIDIWA...!!!


Mwanamuziki wa kike Rehema Chalamila maarufu kama Ray C kwasasa anaishi maisha magumu baada ya kuathiriwa na kinachosemekana  kuwa ni matumizi ya madawa ya kulevya kwa muda mrefu.

Mwanadada huyo maarufu kama kiuno bila mfupa hivi karibuni alihamishia makazi yake mjini Nairobi, Kenya, na aliporejea nchini hali yake ilikuwa mbaya.

Mama mzazi wa Ray C,  Bi Margret Mtweve alifunguka kwa njia ya simu na kuzungumza na Mo Bloga na kusema amesikitishwa na kitendo cha vyombo vya habari kuandika tu hali ya Ray C bila kuhamasisha msaada..

“Kwa kweli mwanagu ninae nyumbani kwasasa nalala nae kabisa, na nimeokoka namuombea sana kwa Mungu, na ninaamini Mungu ni mwema atamsaidia” alisema Bi Margret nakuongezea.

“Mwanangu aliwasaidia watu wengi lakini sasa hivi anamatatizo sioni mtu hata mmoja wakuja kunipa msaada, zaidi ni simu za waandishi kutaka habari za kumchafua”

Mama Ray C yuko tayari kupokea msaada wowote kutoka kwa wanajamii na namba yake ya simu ni 0655 999 700 waweza mtumia hata kwa Tigo Pesa.

Comments

  1. Uuuwwiii jamani jamani, maskini Ray c uuwiiii

    ReplyDelete
  2. yaani mpk machozi yamenitoka maskini she needs immediate help...

    ReplyDelete
  3. Kweli Tina yaani leo nimeumia sana kumuon ahivi Ray C na kumsikia mama yake aiseee

    ReplyDelete
  4. Daah yaani hizo picha na maneno ya mama yake.Nimesisimkwa mwili mzima.

    ReplyDelete
  5. Mungu atamsaidia mpe pole.....

    ReplyDelete
  6. KWANZA NA MPA POLE SANA MAMA YAKE NA RAYC.
    MIMI NASHAURI IPO DAWA YA BURE WALA HAIITAJI GHARAMA KUBWA. WAMPELEKE KWENYE MAOMBI. YESU ALIKUFA KWA AJILI YA RAY PIA. NA AMINA AMINA NAWAHAKIKISHIA RAY ATAPONA KABISA KWA JINA LA YESU. KWASABABU HATA AKINYWA DAWA AKAPONA HANA KITU CHA KUMZUIA. ANAWEZA KUNYWA TENA. HEBU TUMWAMIN MUNGU PAMMOJA NA MIMI. HAKUNA LISILO WEZEKANA KWA MUNGU.

    ReplyDelete
  7. duu maombi na ganja wala havipatan hapo ni Rehhab tuu ndio suruhu

    ReplyDelete
  8. Tanzania viongozi wajitahidi kudhibiti madawa ya kulevya,vijana wote tutapotea,kuhusu Ray C,nahisi wampeleke rehhab,but inasikitisha

    ReplyDelete
  9. The best thing to be done is to look how Ray c can be help,if its a matter of taking her to hospital lets people come out and help, we have seen many people being help on such a sitution Ray is not the first person and they were helped.its still aerly the mum has done a good thing to call for a help lets not look what she has been doing everybody has a weekness,to the artist of Tz plz you people come out and make some funraiser to help the lady she has been good friend of you for the past,we also had one here in Kenya former Boxer called Conjestina,people came out to save the life and she is now doing well lets help Ray c.

    ReplyDelete
  10. She is such an icon
    i feels great sorry for her
    may God help her recover soon
    On the other Hand I am deeply bothered by other Tanzanian artist, I think they should be like a family and help each other in times like these
    The extent that her mum came for help on public indicate that Ray and her family had being abandoned by the society especial her fellow artists.

    ReplyDelete
  11. Thanks for finally talking about > "MAMA YAKE RAY C AFUNGUKA NA KUSEMA RAY C ANAHITAJI KUSAIDIWA...!!!" < Liked it!

    Have a look at my website ... wordpress plugin tutorial

    ReplyDelete
  12. Where is her sextape?

    ReplyDelete

Post a Comment