MAREHEMU SHARO MILIONEA AAGWA NA KUSINDIKIZWA NA WENGI KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO NYUMBANI KWAO MUHEZA, TANGA! MAY HIS SOUL R.I.P...!!!
Humu ndimo amelala mpendwa wetu marehemu Sharo Milionea
Imam akiongozo sala ya maiti
Ndugu jamaa na marafiki waliojumuika katika dua
Dua ikiendelea
Umati wa watu ulofika kumsindikiza mpendwa wetu marehemu Sharo Milionea kuelekea nyumba yake ya milele
Umati wa watu mchana huu katika mazishi ya marehemu Sharo Milionea Muheza, Tanga
Rafiki kipenzi na mwigizaji nguli wa Tanzania Mzee Majuto akiwa ameshikiliwa mkono huku wakielekea kwenye mazishi mchana huu Muheza Tanga.
Umati wa watu wakibeba jeneza
Waombelezaji wakiwa wanamsaidia mwenzao aliyezima msibani hapo
Baadhi ya wanamuziki wa Bongo fleva wakiwa msibani hapo pamoja na menjea uhusiano wa Airtel (katikati)
Kiongozi wa Fleva Unit Hamis Mwinjuma, akitoa salam kwa niaba ya wanamuziki wa Bongo Fleva
Hapo ndipo atalala marehemu Sharo Milionea
Muigizaji Maarufu hapa nchini, Mzee Athuman Amri a.k.a King Majuto ambaye ni Baba Mdogo wa Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti a.k.a Sharo Milionea akitupa mchanga kaburini wakati wa Mazishi ya Sharo yaliyofanyika leo katika kijiji cha Lusanga,Muheza Mkoani Tanga.
Udongo ukitupiwa kaburini wakati wa mazishi ya Msanii wa Muziki na Filamu nchini Tanzania, Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti a.k.a Sharo Milionea, ambayo yalihudhuliwa na Watu mbali mbali hapa nchini,wakiwemo viongozi katika kijiji cha Lusanga, Muheza Mkoani Tanga.
Marehemu Sharo Milionea amesha zikiwa na hapa ndipo alipo lala. Pumzika kwa amani rafiki yetu.
Bongo All Stars - Kaza Moyo
Source: Jiachie
Cartoon by: Malicky S Boaz
Comments
Post a Comment