MKURUGENZI WA FABAK FASHIONS ASIA IDAROUS AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA ONYESHO LAKE LA KHANGA ZA KALE...!!!
Mama Asia Idarous akiwa katika pose na vazi lake la khanga
Mama Asia Idarous akieleza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari
Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous akielezea kwa waandishi wa habari kuhusiana na onyesho lake la Kanga ya kale linatakalofanyika Ijumaa ijayo ya Novemba 23, Kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam , kulia ni Mkurugenzi wa Mabibo Beer Benadicta Rugemalila pamoja ambao ni wadhamini wakuu wa onyesho hilo
Comments
Post a Comment