MWANAMUZIKI "OMMY DIMPOZ " KUFANYA TOUR USA & CANADA...!!!

MKURUGENZI MTENDAJI WA MAKAMPUNI YA DMK GLOBAL PROMOTIONS & NORTHERNZONE ENTYENYE MATAWI USA ,UK & TZ, MR DICKSON MKAMA a.k.a Mr "DMK" AMETHIBITISHA HABARI ZILIZOVUMA HIVI KARIBUNI KUHUSU KUSAINI MKATABA NA MWANAMUZIKI ALIYEKO JUU KWA SASA NCHINI TANZANIA "OMMY DIMPOZ" KWA AJILI YA TOUR ZA NCHINI MAREKANI NA CANADA .AKIZUNGUMZA KUTOKEA WASHINGTON DC BAADA YA KUWASILI KUTOKA TANZANIA,MR DMKAMESEMA KAMA KAWAIDA WAKISHIRIKIANA NA "J & P ENT" WATAWALETEA ZIARA YA MWANAMUZIKI HUYO KIPENZI CHA WENGI ANAYETAMBA NA VIBAO VYAKE KAMA "NAI NAI",BAADAE NA VINGINE VINGI,TAREHE NA MIJI KUTANGAZWA HIVI KARIBUNI PINDI TARATIBU ZOTE ZITAKAPOKAMIRIKA,MENEJA WA "OMMY DIMPOZ " MR MUBENGA PIA AMETHIBITISHA HABARI HIZI PAMOJA NA PICHA WAKISAINI MKATABA...MBALI NA DIMPOZ , DMK PIA AMESEMA ZIARA ZA WANAMUZIKI.."BARNABA,SHETTA NA LINAH ZITAFUATA..USA & CANADA KAENI TAYARI...KWAMAELEZO ZAIDI PIGA SIMU # USA +1 301-661-6207..OR ..TZ +255784715993

Comments