
Staa wa Movie na Muziki Tanzania Zuwena Mohamed aka “Shilole” anajiandaa kutoka na video ya songi lake linaloitwa ‘Dubu’ ambamo ndani yake ameshirikiana na Q-Chilla.
Kwa mujibu wa habari ambazo tumezipata, tayari kazi ya upigaji picha za video zimekamilika ambapo kampuni ya ‘Kwetu Studio’ ndio iliyohusika kusababisha.
Comments
Post a Comment