Mashallah mwari wetu kapendezajeeee
Hongera Sabrina tunasubiri the big day
Fab engagement ring
Mahari hiyooooo si mchezo
Mambo ya ukweli
Mashallah
Chezea mwariii wetu
Beautiful bride to be
Mama na mwana pendeza sana
Deka kwa mama kwa raha zako
Sabrina na mama yake mwingine chezea
Tuma & Sabrina
Sabrina akiwa katika pose na ndugu zake
Mama Sabrina, Sabrina & Tuma
Beautiful people
Watu walipendezajeeee
Kwa raha zako mama ringaaaaa
Sister sister pendeza haswaaaa
Waarabu wa ukwee'
Watu full kutokeleza
Mambo ya rusha roho paleee
watu wangu wa ukwee'
Picha za pamoja na ndugu, jamaa na marafiki
Sabrina akiwa katika pose na mama yake
Wakwee
Sabrina katika pose na kaka yake
Familia
Tenaaaaaaaa Bobo kwa raha zako
Family affair
Shughuli hii ilifanyika Thames view community Hall London
Tunamtakia Sabrina na mwenzie kila la kheri katika mipango yao ya siku yao kubwa mbeleni I mean Harusi yao.
Ameen!!
Comments
Post a Comment