Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwaelekeza vijana waliojitokeza katika mazoezi jinsi ya kupiga ngumi za tumbo na kuingia ndani kwa mashambulizi zaidi |
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na vijana waliojitokeza katika mazoezi ya ngumiufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana |
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na vijana waliojitokeza katika mazoezi ya ngumiufukwe wa GYMKHANA Dar es salaam jana. Picha na www.superdboxingcoach. |
Comments
Post a Comment