TASWIRA ZA ONYESHO LA KHANGA ZA KALE 2012...!!!

 Mgeni Rasmi katika Onyesho la Khanga za Kale, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jisnia na Watoto Mheshimiwa Sophia Simba akisoma hotuba yake fupi wakati wa kufungua rasmi Onyesho la Mavazi ya Khanga za Kale 2012 linaloratibiwa na Mamaa wa Mitindo Asia Idarous Khamsin (kushoto) chini ya Kampuni yake ya Fabak Fashion. Onyesho hilo lilifanyika katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam
 Muandaaji wa Onyesho la Mavazi ya Khanga za Kale 2012, Mamaa wa Mitindo Asia Idarous Khamsin akizungumza machache kabla ya kuanza Rasmi kwa Onyesho katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam.
 Kiki's Fashion akiwakilisha na model wake Jen
 Nelly Kamwelu ndani ya kivazi cha Martin Kadinda
Martin Kadinda wa Single Button akionyesha vazi lake liliovaliwa na Nelly Kamwelu
 Kivazi na kiatu mwake mwake chezea Dida
 Dida akiwakilisha pamoja na mbunifu wa vazi lake
Baadhi ya Wanamitindo na wabunifu wakipita Jukwaani kuonyesha mavazi ya aina Mbali mbali yaliyobuniwa na Wabaunifu zaidi ya 30 walioshiriki kuonyesha mavazi yao katika Onyesho hilo.


 Meza kuu wakishangilia
 Wageni wakifuatilia onyesho
 Herry Paco akiteta jambo na Kiki huku Khadija Mwanamboka akionekana kubadilishana mawazo na Salma Msangi & my dear Jen I see u busy with I guess Flavy lol

 Warembo wakifuatilia onyesho
 Khadija Mwanamboka nae alikuwepo 
 Mbunifu wa Mavazi Gymkhana Hilali anayemiliki Paka Wear akipita na vazi lake.
 Mwigizaji Monalisa nae alikuwepo

  Mshiriki wa shindano la EBBS 2012, Salma akitoa burudani.
 Matukio Chuma nae hakuwa nyuma.
 Mmilikiwa wa Blog ya Missie Popular, Bi. Mariam Ndaba akipita na vazi lilibuniwa na mama wa Mitindo Asia Idarours Khamsin.
 Taji Liundi akiwakilisha
 Sarah mke wa Raqey Mohammed mmiliki wa I-View Media nae alipata nafasi.
 Baby Madaha alikuwepo pia
  Magesa mwendeshaji wa shindano la Unique Modo Search pia alikuwepo.


 Mmilikiwa wa Blog ya Mtaa kwa Mtaa, Othman Michuzi nae hakuwa nyuma kuvaa vazi lilibuniwa na mama wa Mitindo Asia Idarours Khamsin.
  Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo Kajuna nae alipata nafasi ya kupanda jukwani akiwa amevaa vazi la shati ya khanga aliyobuniwa na mama Asia Idarous Khamsin.
 Modoz wakipita kwa steji, wakiongozwa na Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima (kwanza Kulia), Mmiliki wa Mtaa kwa Mtaa Blog, Othman Michuzi (kati) na Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo (kwanza kushoto).
Muandaaji wa Onyesho la Mavazi ya Khanga za Kale 2012, Mamaa wa Mitindo Asia Idarous Khamsin akiwa na mumewe mzee Khamsin wakiwapungua wageni waliohudhuria. Mavazi hayo yanayofuata katika picha za chini yamebuniwa yeye.
 Moja ya picha iliyofanyiwa mnada.
 Moja ya picha iliyofanyiwa mnada.
 Moja ya vitu  viliyofanyiwa mnada usiku huo
 Wageni wakishangilia onyesho
Wanahabari wakiwa kikazi zaidi.

Picha kwa hisani ya Kajunason Blog

Comments