BALOZI KALLAGHE (TANZANIAN AMBASSADOR IN UK) ATATEMBELEA READING KWA AJILI YA IBADA MAALUM YA KUFUNGA MWAKA 2012
JUMAPILI HII YA
TAREHE 30-12-2012
SAA 8 MCHANA.
MAHALI:
ST'ANDREW CHURCH
RG1 5BD
LONDON ROAD
TAFADHALI UONPAO UJUMBE HUU MJULISHE NA MWINGINE......
WOTE MNAKARIBISHWA......
Comments
Post a Comment