MJUNI MAKUBO ALIVYONG'AA NA MKEWE DOROTHEA MJUNI KATIKA HARUSI YAO NDANI YA UKUMBI WA MLIMANI CITY JUMAMOSI YA TAREHE 1...!!!
Bwana Harusi Mjuni Makubo akiwa katika picha ya Pamoja na Baadhi ya Wapambe wao katika sherehe ya harusi yao iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani city Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012
Bibi Na Babu yake Mjuni Makubo, Mama Leoncia Lukaza na Justus Kato Lukaza (wazazi wa baba Mjuni Mzee Makubo) wakitoa neno kwa wajukuu zao Dorothea na Mjuni Makubo katika hafla ya harusi yao iliyofanyika Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012 katika Ukumbi wa Mlimani City.

Hii ndio Kamati Nzima ya Maandalizi ya Sherehe ya Harusi ya Mjuni na Dorothea Makubo iliyofanyika Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012 katika Ukumbi wa Mlimani City
Baba Mzazi na Mama Wa Bwana Harusi Mh Mjuni Makubo wakitoa nasaha kwa watoto wao mara baada ya kufunga ndoa takatifu na sherehe fupi kufanyika katika ukumbi wa mlimani city jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012.
Wazazi wa Bibi Harusi wakitoa Nasaha kwa Watoto wao mara baada ya kufunga ndoa takatifu na sherehe kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City jumamosi ya Tarehe 1 Desemba 2012
Kwa Mila Za Kihaya Mwanaume anapooa Wazazi wake umkabidhi Mkuki Kwaajili ya Ulinzi na Sio kwaajili ya Kumdhuru na Kumpiga Mkewe.
Mzee Makubo (Baba Mzazi ) wa Bwana Harusi Mjuni Makubo Akimvalisha Kanzu ikiwa kama ishara na Mila za kihaya kwamba Ameshakuwa na anaweza Kuchangia katika Vikao vya Watu wazima
Bwana na Bibi Harusi Mjuni Na Dorothea Makubo wwakisubiri kukata keki tayari kwa kulishana ikiwa ni ishara ya Upendo katika Ndoa yao.
Zawadi kutoka Kwa ndugu jamaa na marafiki
Mwanangu Mie huyo Lincorn Hakuwa Nyuma katika Kushuhudia Kaka yake akiaga kambi ya Makapera jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012 Ndani ya Ukumbi wa Mlimani City
PICHA NA JOSEPHAT LUKAZA WA LUKAZA BLOG
Jamani huyu ni Yule Mjuni wa Capt. Hilda au sio?
ReplyDelete