When a big family faces tough challenges, some fall apart and some triumph over what life throws at them.
Siri ya Mtungi’s cast of colourful characters, related by blood or marriage, or simply by love, make up a community that is inspired by love, brought down by fear, superstition and betrayal, lifted by comedy and joy, and strengthened by the intimate bonds of family and friendship.
It’s a story of relationships won and lost.
Between busy Dar es Salaam and the laconic streets of Bagamoyo, we get behind closed doors into the lives of Cheche and his wife Cheusi, daughter of well-known community leader, and polygamist, Mzee Kizito, as well as characters like deejay Duma, amorous Lulu, viperous Farida, lecherous Masharubu, and many more.
When Cheche is gifted a commercial studio by the late photography guru, Habibu, he finds himself not only taking pictures but becoming the focus of what other people want from life. Cheche’s relationships get complicated.
In his unique portraits of individuals, of families and friends, Cheche captures the soul of a community on its journey of hopes, dreams and personal crises.
Check out this griping new TV series to be aired weekly from 9:30pm every Sunday on ITV and 9:30pm every Wednesday on EATV!
Swahili
MAELEZO YA SIRI YA MTUNGI
Familia kubwa inapokumbana na changamoto mbalimbali, baadhi ya wanafamilia husambaratika na wengine huikabili kama sehemu ya mitihani ya maisha iliyowapitia.
Mchanganyiko mzuri wa wahusika wa Siri ya Mtungi, waliohusiana kwa damu au ndoa, au kwa mapenzi tu, unaunda jamii inayohamasishwa na penzi, lililoletwa na woga, ushirikina na usaliti, ikinyanyuliwa na ucheshi na furaha, na kupewa nguvu ya mshikamano wa ndani wa familia na urafiki. Ni hadithi ya mahusiano yaliyofaulu na yale yaliyopotea.
Ni hadithi ya mahusiano yaliyofaulu na yale yaliyopotea.
Kati ya mitaa yenye harakati nyingi ya Dar es Salaam na ile iliyo kimya ya Bagamoyo, tunapenya nyuma ya milango iliyofungwa mpaka kwenye maisha ya Cheche na mkewe Cheusi, binti wa kiongozi maarufu mwenye wake wengi, Mzee Kizito, pamoja na wahusika wengine kama Duma, mwana DJ; Lulu- shangingi lililokubuhu; Farida- roho ya nyoka; Masharubu- mzee kikwekwe na wengine wengi.
Cheche anapozawadiwa studio ya biashara na marehemu Habibu, mpigapicha wa Kiguru, anajikuta kuwa yeye si mpiga picha pekee bali ni kama alama au kitovu cha kile watu wengine wanachokitaka kutoka katika maisha. Mahusiano yake yakaanza kumletea matatizo.
Ndani ya picha anazopiga watu mbalimbali, au familia na marafiki, Cheche hukamata hisia mbalimbali za wanajamii zikionyesha matumaini, ndoto na matatizo ya kibinafsi.
Usikose kuangalia tathmilia hii saa 3:30 usiku kila Jumapili kwenye ITV, na saa 3:30 usiku kila Jumatano kwenye EATV!
Comments
Post a Comment