TAMASHA LA AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR KUFANYIKA SERENA HOTEL 22 DECEMBER 2012...!!!

Kutakuwa na Tamasha la Ambassadors of Christ Choir ambalo litafanyika katika Hoteli ya  Serena nchini Rwanda kwa ajili ya kuchangia mkutano wa Injili utaofanyika Byumba,Waimbaji wengine watakaokuwepo ni Maranatha Family Choir inayoundwa na wanafunzi na Mwimbaji toka Nairobi, Kenya Israel Mugisha,Tamasha hilo litafanyika saa 12 jioni,desemba 22,mwaka huu

Comments