Mwanasheria mkuu wa serikali ya mapinduzi Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman ( kushoto ) akizungumza na wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba katika mkutano ulifanyika Jumamosi 26.01.2013 katila ofisi za tume hiyo jijini Dar es Salaam kulia ni menyekiti wa tume hiyo jaji Warioba
mwanasheria Mkuu wa zamani wa serikali Mhe. Andrew Chege akizungumza na wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba kulia ni makamo mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji mkuu mstaafu Augustino Ramadhani
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi ( kushoto) akizungumza na wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba walioongozwa na mwenyekiti wake Jaji Warioba ( kulia ), tume hiyo ilipokutana jumamosi tarehe 26.01.2013 jijini dar Es Salaam
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ( aliyekaa katikati ) akiwa katika picha akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba waliiongozwa na Mwenyekiti wa Tume, Jaji Joseph Warioba (wa pili kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yao. Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo mstaafu leo ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
Comments
Post a Comment