ALIYEKUWA MUMEWE GOLDIE AFUNGUKA : ANDREW HARVEY KATIKA MAOMBELEZO YAKE AWEKA PICHA ZAO ZA HARUSI KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK NA KUMUOMBA PREZZO KUKAA MBALI NA FAMILIA YAO ILI WAHUZUNIKE KWA AMANI...!!!
Imekuwa zaidi ya saa 24 tangu kifo cha mwanamuzi mashuhuru na Big brother africa house mate Suzan Harvey " GOLDIE", Aliyekuwa mumewe Andrew Harvey ameibuka na picha zao za ndoa. na picha nyengine ambazo zimepigwa hivi karibuni wakiwa pamoja kama mke na mume . Andrew pia kupitia ukurasa wake wa facebook amemuomba mwanamuziki wa kenya Prezzo katika wakati huu mgumu "kuacha familia yao ihuzunike kwa amani"
Katika mahojiano na TheNetNG, Andrew pia alithibitisha kwamba yey an Goldie waliowana mwaka 2005, yeye na Goldie walikuwa mke na mume hadi kifo chake.
"uhusiano" na Prezzo ulikuwa ni mchezo tu kwa ajili ya TV - "Prezzo ilikuwa sehemu ya BBA mchezo, kama vile katika sinema, alisema Andrew sikuwa na wasiwasi wowote ule
Aliendelea kusema kuwa yeyee na Goldie hivi karibuni Krismasi likizo iliyopita walikuwa pamoja pamoja Malaysia, na mara ya mwisho kuzungumza na mkewe ilikuwa siku ya Valentines day
Na kama tunavojuwa mpaka kifo chake Goldie alikuwa anatumia jina la ukoo la Andrew - Harvey.
ukurasa wa facebook ya Andrew Harvey
Comments
Post a Comment