BREAD WORLD NI BAKERY NA COFFEE SHOP AMBAO UMEFUNGULIWA RASMI JUZI TAR 23 FEBRUARY.
WANAPATIKANA JENGO LA PALM'S RESIDENCY, KARIBU NA HOSPITAL YA OCEAN ROAD, GROUND FLOOR, NYUMA YA SUPER MARKET.
WASILIANA NAO: 0754 99 47 53
From left Mheshimiwa Mbunge Mama Sitta, Mrs. Agnes Kejo The Owner of The New Bakery (Bread World), Mheshimiwa Mbunge Cathy Magige, Mheshimiwa Waziri Sitta
Le Mutuz akiwa katika pose na wamiliki wa bread world Mr & Mrs Kejo (kushoto na kulia) pamoja na mdau
Mrs Kejo akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Bread World
Wadau walio hudhuria
Mambo ya Bread World
Wadau wakiangalia ka makini mambo ya Brad World
Wadau mbali mbali waliohuduria ufunguzi huo wakipata vinywaji na kubadilishana mawazo
Package safi ya Bread World
Comments
Post a Comment