BREAKING NEWS: INNA LILAHI WAINA ILLAYHI RAJIUUNA SHEIKH NASSOR BACHU HATUNAE TENA AMESHATANGULIA MBELE YA HAKI...!!!
SHEIKH NASSOR BACHU ATAZIKWA KESHO SAA NNE ASUBUHI MAITI ITAONDOKEA CHUKWANI NA KUZIKWA KIJIJINI KWAO DONGE.
MAREHEM SHEIKH NASSOR BACHU AMEWACHA WAKE WATATU NA WATOTO KUMI NA TANO.
TUNAWAOMBEA SUBRA KWA ALLAH FIMILIA YAKE KATIKA WAKATI HUU MGUMU WA MSIBA.
INSHALLAH M/MUNGU ATAMSAMEHE MADHAMBI YAKE NA AWE NI MIONGONI MWA WATU WA PEPONI.
TUNAWAOMBEA SUBRA KWA ALLAH FIMILIA YAKE KATIKA WAKATI HUU MGUMU WA MSIBA.
INSHALLAH M/MUNGU ATAMSAMEHE MADHAMBI YAKE NA AWE NI MIONGONI MWA WATU WA PEPONI.
Allah(s.w)amlipe heri sheikh nasor bachu kwan alikuw ni miongon mwa weny kuibainisha haki na kupinga baatil
ReplyDelete