FUNDI PIKIPIKI MKOANI KILIMANJARO NA MFANYABIASHA WA ARUSHA WAYABEBA MAHELA YA VODACOM...!!!

Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingwa akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa Droo ya tano ya  kuwapata washindi wa shilingi Milioni 5 na Milioni moja  katika  Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo,ambapo fundi pikipiki mkazi wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mfanyabiasha wa Arusha Bw.Stephen Asheri wamejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.Anaeshuhudia kushoto ni Emmanuel Ndiki Afisa Mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania.Mteja anatakiwa kutuma neno"MAHELA"kwenda namba 15544 na kuweza kujishindia.Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.

Comments