JENGO LA PPF TOWER LILIVYONUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM...!!!


Pichaa Mbili juu ni mwonekano wa sehemu ya juu kwenye mitambo ya mawasiliano iliyopo katika chumba cha 11, kilichopo  juu, mwisho kabisa mwa jengo la minara ya PPF lililopo kwenye makutano ya Ohio/Garden Avenue, katikati ya jiji la Dar es Salaam ikifuka moshii muda mfupi baada ya moto kuwaka
 Mmoja wa askari wa zimamoto akitazama kwa makini moja ya sehemu uliyokua ikitoka moshi na moto kwenye mitambo ya mawasiliano iliyopo katika chumba cha 11, kilichopo  juu, mwisho kabisa mwa jengo la minara ya PPF lililopo kwenye makutano ya Ohio/Garden Avenue, katikati ya jiji la Dar es Salaam
 Kikosi cha Askari  kikiwa eneola  eneo la tukio ili kulinda mali zisiporwe au kuharibiwa na vibaka.

Tizama video hapo chini

Comments