MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA YAANDAA WARSHA KWA WANAHABARI KUHUSU LUGHA INAYOTUMIKA KATIKA UTOAJI WA UTABIRI NA TAHADHARI ZA HALI YA HEWA...!!

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dr.Agnes Kijazi akifungua rasmi warsha ya wanahabari

Baadhi ya wanahabari wakifuatilia warsha hiyo kutoka baadhi ya vyomba vya habari 

Mkurugenzi wa huduma za utabiri Dr Hamza Kabelwa akifafanua jambo kwa washiriki. Kwa kutambua mchango mkubwa wa vyombo vya habari katika kufikisha ujumbe kwa jamii,Mamlaka imeandaa warsha ikiwa na lengo la kupata lugha  rahisi kueleweka kwa umma bila kuleta mkanganyiko pindi taarifa za hali ya hewa zinapotolewa


Comments