Mkurugenzi Mtendaji wa Vodcaom Rene Meza akitoa maelekezo ya kazi kwa (kutoka kushoto) Mkuu wa Chapa Vodacom na Mawasiliano Kelvin Twissa, Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazji Hassan Saleh, Mkuu wa Idara ya Uhandisi - Ubora wa Huduma Nguvu Kamando na Meneja wa Vodacom Pwani Asajile Mwakisunga alipotembelea Kongowe Pwani jana. |
Comments
Post a Comment