Beyonce alikaa chini na Oprah Winfrey kwa ajili ya sehemu maalum ya Next Chapter kwenye channel yake OWN. Aliongea juu ya Maisha yake , kuolewa akiwa na Jay-Z, kuharibika kwa mimba yake heartbreaking na Super Bowl Performance.
Angalia dakika 40 za mazungumzo hayo hapo chIni.
Beyonce - Next Chapter (FULL EPISODE)
Comments
Post a Comment