OLD BAGAMOYO ROAD SASA KUJULIKANA KAMA 'MWAI KIBAKI ROAD'...!!!



Barabara ya Old Bagamoyo kuanzia Leo itaitwa "Barabara ya Mwai Kibaki" kwa heshima aliyotunukiwa kiongozi huyo wa Kenya na Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kufuatia ziara yake ya kitaifa ya siku mbili itayoanza leo jijini Dar es salaam.

Je, una maoni gani kuhusu barabara hii kubadilishwa jina?


Comments

  1. Binafsi sijafurahia, sidhani kama hapa kwetu majina ya wahenga wetu au mashujaa yameisha hadi litolewe jina la Mwai Kibaki. Kwanza kafanya kipi cha ajabu. Huko Kenya kuna barabara ya Mkapa,NYERERE au Mwinyi? WIZI MTUPU NA KUJIKOMBA. SHAMELESS!

    ReplyDelete
  2. Binafsi sijafurahia, sidhani kama hapa kwetu majina ya wahenga wetu au mashujaa yameisha hadi litolewe jina la Mwai Kibaki. Kwanza kafanya kipi cha ajabu. Huko Kenya kuna barabara ya Mkapa,NYERERE au Mwinyi? WIZI MTUPU NA KUJIKOMBA. SHAMELESS!

    ReplyDelete

Post a Comment