AFRICAN DANCE VIDEO: TIMAYA SEXY LADIES BY PETIT AFRICANMOVES...!!!
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Petit ni kijana wa kiafrica anaeishi nchini Holland na kazi yake kubwa ni kupiga picha na kufundisha kucheza muziki (photographer & dance teacher) nchini humo. Petit anafundisha African dance kwa watoto na wakubwa kama inavyo onekana hapa chini kwenye hii video. Kusema ukweli nimefurahi sana kuona kijana mdogo mwenye talent na anaitumia ipasavyo. Hebu angalia kazi yake kwa kubofya play.
Kesho ntawaletea part 2 ya kazi yake stay tuned...
Comments
Post a Comment