![]() |
Nani kuibuka mshindi usiku huu??? |
Habari kutoka Uchaguzi wa Kenya ni kwamba Mgombea wa chama cha Jubilee Uhuru Kenyatta anaongoza kwa 52% na Raila Odinga ana 32%, bado kura zinaendelea kuhesabiwa ila this time ni Electronics tupu so hakuna ubabaishaji!!
Uhuru Kenyatta (TNA) 414, 973, Raila Odinga (ODM) 279, 773, Musalia Mudavadi (UDF) 16, 355
Comments
Post a Comment