HONGERA SANA 'HAWA NA BOAZ' KWA KUFUNGA NDOA...!!!

Mr & Mrs Boz Mwambije pamoja na watoto wao
Maharusi katika pose
Lovely family hongereni sana ndugu zangu
Mashallah ulipendeza sana ndugu yangu, Walisema haywi mbona yamekuwa!!! Mungu akubariki sana mamii pamoja na familia yako
Karibuni kwenye chama na hongerni sana. Mungu aibariki ndoa yenu na nyumba yenu. Ndoa ni jambo la kheri na yenye  kumpendeza Mungu. Nawatakia kila la kheri.
Mingi love
JG
xoxox

Comments